Wednesday, September 19, 2012

Ufunguzi wa SidneyPonera.blogspot.com

Leo ni siku maalumu ya kufungua Blogspot maalum ya Ndugu Sydney Ponera.

Tuna penda wewe na mwezako Muweze Kujumuika nasi katika Mwanzo huu wa kutoa huduma zinazohitajika na jamii katika ulimwengu wa sayansi na technolojia.